RIYADH: Hatimaye Mfalme Fahd wa Saudi azikwa
3 Agosti 2005Matangazo
Mfalme Fahd wa Saudi Arabia alizikwa katika sherehe ya kawaida mjini Riyadh hapo jana.
Maelfu ya viongozi wa kiisalmu na wastahiki kutoka pembe za dunia walihudhuria maziko hayo.
Mfalme Fahd aliingoza Saudi Arabia kwa miaka 23 na alifariki hapo jumatatu akiwa na umri wa miaka 83.
Mwanamfalme Abdullah sasa ndiye mfalme mpya wa Saudi Arabia.