Rais wa Somalia Sharif Sheikh Ahmed ziarani nchini Tanzania
10 Agosti 2011
Akiwa ziarani nchini Tanzania ,rais wa Somalia Sharif Sheikh Ahmed ameusifu uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili na ameahidi kwamba atahakikisha kuwa uhusiano huo unadumishwa.