Watanzania bado, wapo katika tathimini ya siku 100 tangu Rais wao Samia Suluhu Hassan aingie madarakani na leo hii amefanya mkutano wake wa kwanza na Baraza la Maaskofu Tanzania TEC, ikiwa ni muendelezo wa utaratibu wake wa kukutana na makundi mbalimbali ya kijamii. Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za Tanzania Nassoro Kitunda.