Rais George Bush ameahidi kutuma wanajeshi zaidi katika kipindi cha masaa 24 hadi 48 yajayo
3 Septemba 2005Matangazo
Washington:
Rais Georg W.Bush amelihutubia taifa hivi punde mjini Washington.Katika hotuba hiyo fupi rais Bush ameahidi kutuma haraka wanajeshi 7000 wa ziada kusaidia shughuli za uokozi huko Louisiana.Amesema „kile ambacho hakijapita vizuri watakirekebisha.“Hatutaachia umangi meza uingilie shughuli za kuokoa maisha“Mwisho wa kumnukuu..