Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameutetea uvamizi wake dhidi ya Ukraine wakati wa hotuba ya kuadhimisha ushindi wa Kisovieti dhidi ya majeshi ya Ujerumani iliyoongozwa na Wanazi wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Bruce Amani amezungumza na Mohammed Abdulrahman, mchambuzi wa siasa za kimataifa, na kwanza anaeleza ni kipi muhimu alichokisema Putin