Powell urges ICRC, others not to pull out of Iraq
28 Oktoba 2003
WASHINGTON, Oct 27 (AFP) - US Secretary of State Colin Powell on Monday appealed for the International Committee of the Red Cross (ICRC) and other agencies not to pull out of Iraq, saying their work was needed and their departure would be victory for "terrorists." Powell said he understood the legitimate security concerns of the ICRC, the United Nations, contractors and various non-governmental organizations (NGOs) who have withdrawn foreign staff from Iraq because of an increase in attacks, but urged them to work with US authorities to find a way to stay. "It's of concern to us," he told reporters after the ICRC announced it would remove its foreign workers from Baghdad following a spate of deadly suicide car bombings that hit the Iraqi capital earlier Monday, including its headquarters. "We hope that contractors, NGOS and the ICRC and the UN will make a considered assessment of their security situation and hope they can find it appropriate to stay," Powell said. "They are needed, their work is needed and if they are driven out then the terrorists win," he said after meeting at the State Department with Sheikh Hamdan Bin Zayed Al-Nahyan, the deputy prime minister of the United Arab Emirates. Powell allowed that the agencies "have to balance that desire to do the job and stay with their security needs" but called on them to seek the assistance of Paul Bremer, the head of the US occupation authority, and General Ricardo Sanchez, the commander of US forces in Iraq. "I hope that they are in close contact with Ambassador Bremer and General Sanchez and our suthorities in the region to see what can be done -- not necessarily to provide a direct protection, but to provide them a safe environment in which to work," he said. The ICRC said it would pull its foreign staff out of Baghdad after the bombing of its office which killed two of its employees and 10 others. But the organization, which has some 35 foreign staff in Iraq and 800 Iraqi workers, would continue not to ask for military protection from the United States. The bombing at the ICRC office was one of several almost simultaneous attacks across Baghdad that left 42 people dead and more than 200 injured. The attack on the ICRC was reminiscent of a similar suicide bombing on the United Nations headquarters in Baghdad, which killed 22 people on August 19, including Annan's top envoy for Iraq, Sergio Vieira de Mello. Powell acknowledged that Monday's bombings, which followed the shelling on Sunday of the Baghdad hotel where US officials reside, had been bad for morale, but vowed that the United States would stay the course in Iraq. "Today was a difficult day and the last 24 hours have been very difficult," he said. "It's been a bad 24 hours but ... there are a lot of good things going on. "We're going ahead with our reconstruction plans and efforts," Powell said. mvl/jlp AFP 272158 GMT OCT 03 Afrika Kiswahili Mtu na Mazingira UN Conference Stresses Need Of Disaster Reduction Mkutano wa Umoja wa Mataifa Unasisitiza Haja ya Kupungua Misiba Man.: Shaaban M Shangama 103299 Karibuni katika makala nyingine ya Mtu na Mazingira kutoka Redio Deutsche Welle, Bonn, Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani. Ni Shaaban Mohamed nikiwatakia usikilizaji mzuri. Athari za misiba kila pembe ya dunia zimeongezeka kwa haraka mnamo miongo mitatu iliyopita, huku maelfu ya watu wakiuawa, mamilioni wakiteseka na mabilioni ya Dolla zikipotea. Nchi zinazoendelea zinaathirika kwa kadiri kubwa, zikipoteza mapato ya mwaka mzima au zaidi, ambayo yalichumwa kwa shida. Mataifa hayo yanahitaji pia msaada wa kiuchumi katika hali ya dharura. Wakitambua athari za misiba hiyo mbele ya maendeleo ya jamii na uchumi, wajumbe waliohudhuria mkutano wa kimataifa, walikubaliana kujumuishwa hatua za kupunguza misiba katika sera za maendeleo ya kudumu na mipango ya kivitendo. Taarifa iliyotolewa hivi karibbuni, baada ya kumalizika mkutano wa siku tatu , Mkutano wa pili wa kimataifa juu ya Onyo la Mapema (EWC-II) hapa Bonn, ilisema wajumbe wameamua kueleza wazi wazi malengo na dhamana ya kupunguza athari za misiba baina ya mwaka 2004 hadi 2015. Waraka uliotoka katika mkutano huo wa tarehe 16 hadi 18 Oktoba, una vifungu vya hatua zinazohitajika kuchukuliwa, kwaajili ya utaratibu halisi wa onyo la kabla, chini ya msingi wa mifano ya kivitendo, na kusambazwa kwa viongozi wa kienyeji na kitaifa kila pembe ya dunia. Vifungu hivyo vitakidhi haja na masharti ya onyo la mapema, vikitupia macho mahitaji ya nchi inayoendelea. Mkutano huo, uliohudhuriwa na maafisa wa serikali na wataalamu wapatao 350, ulitayarishwa na serikali ya Ujerumani chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa na kuungwa mkono na Shirika la Kimataifa la Kupunguza Misiba (UN-ISDR). Mutano huo ulijengewa msingi wa mashauriano ya kimkoa na warsha zilizofanywa na washirika wakuu na taasisi za kitaifa. Warsha hizo zilifanyika Guatemala, Indonesia, Kenya na Ujerumani baina ya mwezi wa Mei na Julai mwaka huu. "Ukizingatia hasara inayozidi ya kupotea wanaadamu na kuteketeza uchumi kutokana na misiba, ni muhimu kwa viongozi wa dunia wachukue hatua za kujitayarisha bora zaidi kuzihami jamii dhidi ya misiba ya ghafula," alisema mkurugenzi wa ISDR Salvano Briceno. "Hii inamaanisha kupunguza hatari ya kuchua hatua za kupunguza au kuepuka misiba tangu awali ikiwezekana," aliwaambia wawakilishi wa vyombo vya habari. "Likiwa chanzo cha mkakati wa kupunguza msiba wowote ule, onyo la mapema litatufikisha karibu zaidi na ufanisi wa Malengo ya Maendeleo ya Milenia," alisema Jan Egeland, katibu mdogo wa Umoja wa Mataifa anayehusika na hatua za ubinaadamu, alipokuwa akitoa hotuba yake mkutanoni. " Ni muhimu kwamba watunga sera wanatia maanani onyo la mapema linalotolewa na Huduma za Haidrolojia na Hali ya Hewa na onyo hilo likiingizwa katika mikakati na sera," alisema Michel Jarraud, katibu mkuu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO). Mfumo wa kipekee wa kazi zinazoendeshwa na WMO, unahakikisha uwezekano wa kujipatia onyo mapema kuhusu misiba ya kimaumbile, chini ya msingi wa utabiri barabara na kuhakikisha kwamba onyo hilo linapatikana na mataifa yote bila ya kujali kiwango chake cha maendeleo. Likisisitiza umuhimu wa mikakati ya kupunguza misiba, shirika la ISDR lilisema, kwamba msiba wa mafuriko barani Ulaya mwaka jana, ulisababisha hasara iliyokaribia Dolla bilioni 20. Tangu mwezi wa Juni mwaka huu, mafuriko kusini magharibi mwa Sri Lanka yaligharimu maisha ya watu 300, kadiri ya wakazi laki mbili walipoteza makazi yao na kusababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Wimbi la joto kabla ya majira ya Monsoon nchini India na barani Ulaya lilisababisha vifo vya watu zaidi ya 20,000. Mafuriko nchini Ethiopia na magharibi wa Kenya yaliwapotezea makazi zaidi ya watu laki moja na elfu sitini. Kadhia zaidi za homa ya manjano nchini Argentina ziliambatanishwa na mafuriko. Umuhimu wa onyo la mapema ulitambuliwa katika Ajenda ya 21 ya Mkutano wa Dunia, iliyoidhinishwa mwaka 1992 mjini Rio de Janeiro nchini Brazil, katika mapatano ya mazingira na Mpango wa Hatua wea Barbados kwa nchi ndogo ndogo za visiwa zinazoendelea SIDS wa mwka 1994. Mwanzoni mwa Mwongo wa Kimataifa wa Kupunguza Misiba ya Kimaumbile IDNDR baina ya mwaka 1990 na 1999, mifumo ya onyo la mapema ilipewa umuhimu mkubwa. Katika mwaka 1994 Mkutano wa Dunia juu ya kupunguza misiba ya kimaumbile, ambao ulifanyika mjini Yokohama, ulipitisha miongozo na malengo kwa nchi zote zipunguze atahri zao na kupijaptia maendeleo ya hatua za pamoja katika kupambana na hatari za misiba. Mkutano mkuu wa Maendeleo ya Kuhifadhika WSSD, uliofanyika mwezi wa Septemba mwaka jana, ulitoa wito juu ya kujitahidi zaidi kupunguza hatari za misiba, hasa hasa kuundwa mifumo imara ya onyo la mapema na mitandao ya habari, ndani ya sera za maendeleo ya kuduumu na mipango ya kivitendo. Pia Mkutano wa Kimataifa kuhusu maji safu mjini Bonn, katika mwezi wa disemba mwaka 2001, uliitambua mifumo ya onyo la mapema, kama sehemu ya utaratibu wa kujipatia maji na kipaumbele cha kuchukua hatua. Mikataba ya Marrakech, iliyopitishwa katika kikao cha saba cha Mkutano wa washirika wa COP7 kuhusu Badiliko la Hali ya Hewa UNFCCC mwaka jana, ilitoa wito pia juu ya kuimarishwa, na pale panapohitajika, kuanzisha mifumo ya onyo la mapema. Mapatano ya Umoja wa Mataifa juu ya kupambana na majangwa, yametayarisha kikundi maalumu cha kikazi kuhusu onyo la mapema, katika Kamati yake ya Sayansi na Teknolojia. Afrika Kiswahili Journal I 281003 Europe Divided over Headscarves Man.: Shaaban M Shangama 103299 Utangulizi: Sisitizo la wasichana wawili wa shule nchini Ufaransa, juu ya kuvaa hijabu shuleni limezusha suala la dini linaloigawa Ulaya. Alma na Lila Levy, wenye umri wa miaka 18 na 15, walifukuzwa katika shule ya serikali kwenye kijiji cha Aubervilliers kilomita 15 kaskazini mwa Paris, mwanzoni mwa mwezi huu, baada ya kuendelea kuhudhuria madarasa wakivaa hijabu zilizofunika nywele zao, masikio na shingo. Hapa Ujerumani mwalimu wa Kiislamu anakabiliwa na mvutano kama huo pamoja na mamlaka. Zaidi anasimulia Shaaban Mohamed. Mtandio haumaanishi tatizo katika shule nyingine nyingi barani Ulaya. Shule nchini Uingereza, Hispania, Uholanzi na katika nchi za Scandanavia zinaruhusu hijabu. Ubelgiji na Italia hazina sheria kuhusu suala hilo, na mamlaka za shule zinapitisha uamuzi wao wa kiutawala. Nchini Ufaransa na Ujerumani, hijabu zimejibwaga katika masuala ya kutatanisha yanayohusika na uhuru wa dini, katiba na ukristo. Watoto wa shule nchini Ufaransa wanapambana na matatizo hayo wanapokataa kufikia maridhio. Mkuu wa shule Lucien Nedelec alizungumza na wasichana juu ya njia bora ya kuvaa hijabu, lakini wasichana hakukubali pendekezo lake. "Daima nimetafuta njia rahisi inayowaruhusu wasichana kwenda mkono kwa mkono na imani zao za dini, lakini bila ya kupuuza wajibu wa kuepukana na dini katika mfumo wetu wa shule za serikali," Nedelec aliwaambia wawakilishi wa vyombo vya habari. " Tumefanya maridhio," alisema Alma. "Tulikubali kuvaa hijabu za rangi na mavazi mafupi, lakini hatukuweza kukubali kuacha wazi nywele, masikio na shingo." Sheria ya mwaka 1905 inatofautisha serikali na dini nchini Ufaransa. Sheria kutoka mahakama ya katiba inasema, kuvaa ishara za dini hakuwezi kukatazwa, ili ikiwa zimedhamiria kuwatia watu katika dini nyingine au "kusababisha matatizo katika jamii ya shule." Wengi miongoni mwa wakazi milioni 61 nchini Ufaransa ni Wakatoliki. Lakini kwa Waislamu kadiri ya milioni tano, raia wa kiyahudi wapatao laki saba, waprotestanti na wafuasi wa madhehebu ya kigiriki ya Orthodox, nchi hiyo ni mchanganyiko wa madhehebu na dini. Hali ya mambo haijambo kidogo hapa Ujerumani , kwa Waislamu kadiri ya milioni 3.2 kati ya wakazi milioni 82. Mwalimu wa shule Fereshta Ludin mwenye asili ya Kiafghan, amesisitiza haki yake ya kuvaa hijabu. Mzozano wa suala hilo ulimalizika katika korti ya katiba. Mahakama iliitaka mikoa ya Shirikisho ipitishe sheria juu ya kuvaa hijabu na ishara nyingine za kidini shuleni. Tatizo la kuvaa hijabu haliwezi kutanzuliwa bila ya sheria kama hiyo, mahakama ilipitisha uamuzi tarehe 24 Septemba. Mnamo wakati ambao Ufaransa inajitangaza kama mchi isiyotawaliwa na dini, nchini Ujerumani kwa upande mwingine Ukristo umetia mguu wake katika mambo ya umma. Kwahivyo wito wa korti ya katiba ya Ujerumani, unazusha suala iwapo sheria imewajibika kupiga marufuku hijabu tu au ishara zote za dini. Chama cha mrengo wa kulia Christian Democratic Union, CDU, ni chama kikuu katika mikoa mingi, hasa hasa upande wa kusini. Viongozi wengi wa chama wanasema mahakama imewaomba wahifadhi ishara ya Yesu Kristo shuleni. Waziri wa elimu Monika Holmeier kutoka eneo la Bavaria hapa Ujerumani, amependekeza sheria ambayo " inapiga marufuku ishra zote zinazokwenda kinyume na maadili katika katiba yetu, zinazodhamiria kufuja amani katika shule zetu." Lakini wataalamu wa sheria wanasema kwamba sheria ambayo inapiga marufuku hijabu wala si ishara za Kikrisho, sheria hiyo inakwenda kinyume na katiba. "Ama tunakataza hijabu na ishara zote nyingine za dini shuleni, au tunaruhusu yote mawili.," Corina Weriwgk-Herntneck , waziri wa sheria katika mkoa wa Baden Württemberg kusini mwa Ujerumani, alisema. Christine Langenfeld, profesa wa sheria katika chuo kikuu cha Göttingen, anasema sheria inayopiga marufuku hijabu na kujitenga na ishara za kikiristo shuleni haingeweza kamwe kuidhinishwa. Wanasiasa wa pande zote nchini Ufaransa, wametoa wito juu ya kuanzishwa sheria inayopiga marufuku ishara zote za kidini shuleni. Lakini si kila mtu shuleni anaunga mkono matakwa ya kisiasa. Afrika Kiswahili Journal I 281003 Europe Divided over Headscarves Man.: Shaaban M Shangama 103299 Utangulizi: Sisitizo la wasichana wawili wa shule nchini Ufaransa, juu ya kuvaa hijabu shuleni limezusha suala la dini linaloigawa Ulaya. Alma na Lila Levy, wenye umri wa miaka 18 na 15, walifukuzwa katika shule ya serikali kwenye kijiji cha Aubervilliers kilomita 15 kaskazini mwa Paris, mwanzoni mwa mwezi huu, baada ya kuendelea kuhudhuria madarasa wakivaa hijabu zilizofunika nywele zao, masikio na shingo. Hapa Ujerumani mwalimu wa Kiislamu anakabiliwa na mvutano kama huo pamoja na mamlaka. Zaidi anasimulia Shaaban Mohamed. Mtandio haumaanishi tatizo katika shule nyingine nyingi barani Ulaya. Shule nchini Uingereza, Hispania, Uholanzi na katika nchi za Scandanavia zinaruhusu hijabu. Ubelgiji na Italia hazina sheria kuhusu suala hilo, na mamlaka za shule zinapitisha uamuzi wao wa kiutawala. Nchini Ufaransa na Ujerumani, hijabu zimejibwaga katika masuala ya kutatanisha yanayohusika na uhuru wa dini, katiba na ukristo. Watoto wa shule nchini Ufaransa wanapambana na matatizo hayo wanapokataa kufikia maridhio. Mkuu wa shule Lucien Nedelec alizungumza na wasichana juu ya njia bora ya kuvaa hijabu, lakini wasichana hakukubali pendekezo lake. "Daima nimetafuta njia rahisi inayowaruhusu wasichana kwenda mkono kwa mkono na imani zao za dini, lakini bila ya kupuuza wajibu wa kuepukana na dini katika mfumo wetu wa shule za serikali," Nedelec aliwaambia wawakilishi wa vyombo vya habari. " Tumefanya maridhio," alisema Alma. "Tulikubali kuvaa hijabu za rangi na mavazi mafupi, lakini hatukuweza kukubali kuacha wazi nywele, masikio na shingo." Sheria ya mwaka 1905 inatofautisha serikali na dini nchini Ufaransa. Sheria kutoka mahakama ya katiba inasema, kuvaa ishara za dini hakuwezi kukatazwa, ili ikiwa zimedhamiria kuwatia watu katika dini nyingine au "kusababisha matatizo katika jamii ya shule." Wengi miongoni mwa wakazi milioni 61 nchini Ufaransa ni Wakatoliki. Lakini kwa Waislamu kadiri ya milioni tano, raia wa kiyahudi wapatao laki saba, waprotestanti na wafuasi wa madhehebu ya kigiriki ya Orthodox, nchi hiyo ni mchanganyiko wa madhehebu na dini. Hali ya mambo haijambo kidogo hapa Ujerumani , kwa Waislamu kadiri ya milioni 3.2 kati ya wakazi milioni 82. Mwalimu wa shule Fereshta Ludin mwenye asili ya Kiafghan, amesisitiza haki yake ya kuvaa hijabu. Mzozano wa suala hilo ulimalizika katika korti ya katiba. Mahakama iliitaka mikoa ya Shirikisho ipitishe sheria juu ya kuvaa hijabu na ishara nyingine za kidini shuleni. Tatizo la kuvaa hijabu haliwezi kutanzuliwa bila ya sheria kama hiyo, mahakama ilipitisha uamuzi tarehe 24 Septemba. Mnamo wakati ambao Ufaransa inajitangaza kama mchi isiyotawaliwa na dini, nchini Ujerumani kwa upande mwingine Ukristo umetia mguu wake katika mambo ya umma. Kwahivyo wito wa korti ya katiba ya Ujerumani, unazusha suala iwapo sheria imewajibika kupiga marufuku hijabu tu au ishara zote za dini. Chama cha mrengo wa kulia Christian Democratic Union, CDU, ni chama kikuu katika mikoa mingi, hasa hasa upande wa kusini. Viongozi wengi wa chama wanasema mahakama imewaomba wahifadhi ishara ya Yesu Kristo shuleni. Waziri wa elimu Monika Holmeier kutoka eneo la Bavaria hapa Ujerumani, amependekeza sheria ambayo " inapiga marufuku ishra zote zinazokwenda kinyume na maadili katika katiba yetu, zinazodhamiria kufuja amani katika shule zetu." Lakini wataalamu wa sheria wanasema kwamba sheria ambayo inapiga marufuku hijabu wala si ishara za Kikrisho, sheria hiyo inakwenda kinyume na katiba. "Ama tunakataza hijabu na ishara zote nyingine za dini shuleni, au tunaruhusu yote mawili.," Corina Weriwgk-Herntneck , waziri wa sheria katika mkoa wa Baden Württemberg kusini mwa Ujerumani, alisema. Christine Langenfeld, profesa wa sheria katika chuo kikuu cha Göttingen, anasema sheria inayopiga marufuku hijabu na kujitenga na ishara za kikiristo shuleni haingeweza kamwe kuidhinishwa. Wanasiasa wa pande zote nchini Ufaransa, wametoa wito juu ya kuanzishwa sheria inayopiga marufuku ishara zote za kidini shuleni. Lakini si kila mtu shuleni anaunga mkono matakwa ya kisiasa.