Watu watatu wameuawa baada ya kukabiliana na polisi katika maandamano ya kupinga Tume ya Uchaguzi IEBC. Viongozi wa upinzani wamelaani mauaji hayo na muungano tawala umesema uko tayari kwa mazungumzo.
Polisi akirusha gesi ya machozi kutawanya waandamanaji NairobiPicha: Reuters/T. MukoyaVizuizi vya barabarani vyawaka moto Naiobi kwenye maandamano ya kupinga IEBCPicha: Getty Images/AFP/C. de SouzaPolisi wa kuzuia ghasia katika mitaa ya NairobiPicha: Reuters/T. Mukoya