PEKING :31 wafa katika dhoruba kali China
5 Agosti 2006Matangazo
Idadi ya watu waliokufa kutokana na dhoruba nchini China sasa imefikia 31. Watu wengine 14 hawajulikani walipo.
Shirika la habari la China Shinua pia limesema nyumba alfu 46 zimeteketezwa na dhoruba hiyo .
Na kwa mujibu wa utabiri wa hali ya hewa, majimbo kadhaa ya China leo yanaweza kukumbwa na mvua kubwa pamoja na pepo kali.