Olaf Scholz ni mwanasiasa wa Ujerumani kutoka chama cha Social Democrati, SPD. Alikuwa Kansela mwaka 2021-2025. Awali alihudumu kama waziri wa fedha wa shirikisho na Naibu Kansela chini Angela Merkel mwaka 2018-2021.