OBASANJO KUZURU BERLIN
11 Machi 2005Matangazo
BERLIN:
Rais Olesegun Obasanjo wa Nigeria,atakuwa na mazungumzo mjini Berlin na Kanzela Gerhard Schröder hapo Machi 17-serikali ya Ujerumani imetangaza leo.
Mazungumzo yao yatahusika na mchango wa Nigeria katika kutatua mizozo ya kimkoa barani Afrika.Nigeria iko usoni klabisa katika Ushirika mpya wa maendeleo ya Afrika (NEPAD).