Wanaharakati wa vuguvugu la saba saba walitegemea kupatikana mabadiliko ya kidemokrasia baada ya kujitolea kwao. DW imezungumza na Njeru Kathangu mmoja wa wanaharakati hao, anaesema malengo ya kubadilisha katiba kupitia BBI ni ya kibinafsi, na sio kwa maslahi ya Wakenya wote.