Tukio la kusikitisha nchini Kenya la makumi ya watu kugunduliwa wamekufa na kuzikwa kisiri kwa kile kinachoshukiwa kuchochewa na imani tete ya kidini, linazidi kuzusha wasiwasi na maswali mengi. Ikiwemo nini maana ya imani tete za kidini? ishara za imani hizo ni zipi? Viongozi wanaoeneza mahubiri hayo huwashawishi vipi waumini wao? John Juma na mengi zaidi.