Mapambano ya kisiasa yanaendelea katika majimbo mbalimbali nchini Tanzania, wakati wenye nia ya kuwania ubunge na udiwani wakipita katika kila kata ndani ya majimbo kuomba ridhaa ya kuwa wagombea wa Chama cha Mapinduzi. Sikiliza ripoti ya Florence Majani.