Jumatano Chelsea watapambana na Real Betis katika fainali ya Conference League itakayochezwa huko Poland kisha Jumamosi, PSG wavaane na Intermilan kwenye fainali ya Ligi ya Vilabu Bingwa Ulaya, Champions League itakayochezwa katika uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Je, Chelsea wataiendeleza hatua yao ya kufuzu Ligi ya Mabingwa kwa kuutwaa ubingwa wa Conference League? Usikilize mjadala.