Kila mwaka tarehe 1 Oktoba inaadhimishwa siku ya wazee duniani. Salma Said amewatembelea wazee wasiojiweza Zanzibar kufahamu zaidi kuhusu maisha yao na changamoto wanazokutana nazo siku kwa siku.
Picha: DW/S. SaidWazee wasiojiweza wanaotunzwa kwenye nyumba za serikali Sebleni na WelezoPicha: DW/S. SaidMzee Omar Said kwa niaba ya wazee wenzake wa Sebleni na Welezo akimshukuru Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwa kuwatembeleaPicha: DW/S. Said