Mzozo unatokota kati ya jamii ya Bedoui na Druze katika mkoa wa Sweida kusini mwa Syria unazidi kuchukua sura ya kisiasa, kijamii, na hata kimataifa. Katika mjadala huu mfupi, Babu Abdallah anamshirikisha Abdul-Fattah Musa, mwandishi wa mchambuzi wa Mashariki ya Kati kuudadavua kwa kina.