Myra Dunoyer Kavira Vahighene anatamba hadithi jukwaa, na mhamasishaji wa historia ya Kongo na Afrika. Katika safari harakati zake anahuisha simulizi za mababu zake kwa sauti na minyumbuiko ya mwili. Akitengeneza taswira ya Afrika inayosimulia hadithi zake na si kwa sauti za kigeni.