Mwanasiasa nchini Kenya auawa kwa kupigwa risasi
1 Mei 2025Matangazo
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula amethibitisha taarifa hii kufuatia ripoti za vyombo vya habari. za kuuawa kwa mbunge huyo wa Eneo Bunge la Kasipul.
Kisa hicho kilitokea kando ya Barabara ya Ngong karibu na Hifadhi ya Maiti ya jiji la Nairobi," baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki, kimearifu kituo cha televisheni cha The Citizen cha nchini humo.
Were alikuwa ni mwanachama wa chama cha Orange Democratic Movement, ODM kinachoongozwa na mwanasiasa mkongwe Raila odinga.