Friedrich Merz ndiye Kansela mteule wa Ujerumani sasa baada ya muungano wa vyama vya Kihafidhina CDU/CSU kuushinda uchaguzi mkuu. Changamoto inayomkabili Merz sasa ni kutafuta washirika wa kuunda serikali ya muungano. Ila Merz ni kiongozi wa aina gani?