Msimu wa ligi kuu Ulaya unaanza hii leo hapa Ujerumani kesho kutakuwa na mechi ya ufunguzi wa pazia ya German Cup ambapo Bayern Munich watakuwa wanakwaana na VfB Stuttgart, lakini usiku wa leo huko England na Uhispania, Premier League pamoja na La Liga zitakuwa zinacheza mechi za kwanza.