Loistracy Andrew ni msichana aliyeamua kutumia sauti yake kuelimisha jamii na hasa zinazofanya ukeketaji na madhara yake. Matumaini yake makubwa ni kuwa sauti na nguzo ya matumaini na mabadiliko kwa wasichana. #Kurunzi
Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!