Kutoka kwenye pwani ya Tanzania hadi kwenye kina cha bahari, amegeuza hofu kuwa ujasiri na ndoto kuwa kazi.
Utalii wa chini ya maji si hadithi ya mbali tena, ni fursa halisi kwa vijana wa Kitanzania.
Je, wewe uko tayari kujitosa kwenye ulimwengu huu wa ajabu?
Kutana na Gefrida katika safari ya kukamilisha ndoto yake