Huyu ni msichana anayesoma diplomasia lakini pia anajivunia kuwa fundi selemara. Safari yake ni ushuhuda kwamba ndoto hazina mipaka unaweza kuwa msomi na bado ukang’ara katika fani nuongine, japo haikuwa rahisi kwake kukubalika kwa mara ya kwanza lakini jitahada na kuniamini kunamfanya aendelee kuonekana zaidi.