Mkutano wa SADC wamalizika mjini Dar es Salaam,Tanzania
31 Julai 2007
Mkutano wa mawaziri wa usalama na mambo ya nje wa jumuiya ya maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC uliokuwa ukifanyika mjini Dar es salaam, ulimalizika huku mambo kadhaa yakizingatiwa na kupewa kipaumbele.