Mkutano uliyofanyika Afrika Kusini kuhusu hali ya kisiasa visiwani Komoro
11 Julai 2007
Huko visiwani Komoro pande mbili zinazopingana ambazo ni serikali ya umoja wa Komoro na utawala wa kisiwa cha Anjouan, wamekubaliana kutatua mgogoro unaovikumba visiwa hivyo katika mkutano wake uliyofanyika huko Afrika Kusini.